Psalms 106:44-45


44 aLakini akaangalia mateso yao
wakati aliposikia kilio chao;
45 bkwa ajili yao akakumbuka agano lake,
na kutokana na upendo wake mkuu akapooza hasira yake.
Copyright information for SwhNEN